Yanga Wamrejesha Kazini Kocha Wao Hans Van Pluijm Wakataa Ombi Lake la Kujiuzulu





Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwanachama wa Klabu ya Yanga, Mwigulu Nchemba akiwa katika Mazungumzo na Kocha wa Yanga aliyetangaza kujiuzulu kuitumikia klabu hiyo hivi karibuni, Hans Van Pluijm na kumtaka ajeree kwenye kibarua chake cha kuendelea kukinoa kikosi cha Yanga kinachoshikilia Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit.
 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top