Picha na Omari Fungo.
Kampuni
ya kufua umeme ya IPTL imesema haiitambui benki ya Standard Chartered -
Hong Kong kama mdai wao wala haina haki ya kupata malipo yoyote
kwa niaba yao.
kwa niaba yao.
Kampuni hiyo inaunga mkono hatua ya Tanesco kukata rufaa katika màhakama ya ICSID kwasababu hukumu iliyotolewa ina mapungufu mengi kisheria.
Mwanasheria wa IPTL, Joseph Makandege amesema watu wasifanye makosa kuilipa benki hiyo Kwa sababu wanataka kutapeli.
"Hii benki ya Standard Chartered haistahili kulipwa fedha yoyote kwa niaba yetu. Hatuwatambui kama wadai wetu, ndiyo maana wanakimbia mahakama za ndani na kwenda nje."
Video Mpya : Diamond Platnumz ft. Rayvanny - Salome bofya hapa
Video Mpya : Brown Mauzo Ft. Alikiba - 'Nitulize' bofya hapa
Video : Tox Star Ft. Barnaba - 'Chillax' bofya hapa
Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA
Video : Tox Star Ft. Barnaba - 'Chillax' bofya hapa
Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)