Liverpool 'yainyoa' Arsenal




Arsene Wenger

Liverpool ilitoka nyuma na kufanikiwa kuilaza Arsenal katika mchuano mkali uliopigwa katika uwanja wa Emirates.

Theo walcot aliifungia Arsenal bao la kwanza katika dakika ya 31 mda mfupi baada ya kukosa
mkwaju wa penalti.

Lakini Phillipe Coutinho alisawazisha kwa kufunga bao zuri kupitia mkwaju wa adhabu kabla ya Adam Lallana kufunga bao la pili mda mchache tu baada ya kipindi cha pili kuanza.

Coutinho alifunga bao la tatu na Sadio Mane akaongeza la nne kabla ya Alex Oxlaide Chamberlain kufunga bao zuri la pili naye Calum Chambers akafunga bao la tatu kupitia kichwa.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top