Leicester City waanza na rekodi hii mbaya Premier League – matokeo ya EPL


Mabingwa watetezi wa Ligi ya England Leicester City wameanza msimu wa 2016/17 vibaya kwa kipigo cha ugenini vs Hull City.

Leicester wamefungwa 2-1, mabao ya Hull yakifungwa na Adama Diomande (46+2′) na Robert Snodgrass (55′).

Bao la kufutia machozi ya Leicester City lilifplungwa na Riyad Mahrez kupitia mkwaju wa penalti dakika ya 47.



Leicester City ndio mabingwa wa kwanza watetezi kushindwa kushinda mechi ya kwanza ya msimu uliofuata baada ya kutwaa ubingwa.

Matokeo mengine ya ligi kuu ya Uingereza




 Ajira zaidi bofya hapa


Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top