Watumishi 24 watoroka kwenda kufanya vibarua, hii ndio sababu kuu

.
Watumishi 24 walio nje ya mfumo wa kompyuta Wilaya Bukombe mkoani Geita, wanalazimika kutoroka ofisini na kwenda kufanya vibarua ili kutafuta fedha za kujikimu.


Wafanyakazi hao inadaiwa kuwa hawajalipwa mshahara kwa miezi saba mfululizo.


Mmoja wa watumishi hao ambaye hakupenda kutajwa jina lake, alisema Januari mwaka huu walipokea mshahara wa Sh300,000, tangu hapo hawajapokea tena na kufanya waidai halmashauri Sh7.2 milioni kila mmoja.











Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top