Lowassa: Siwezi mhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu. Magufuli anafanya vizuri baadhi ya maeneo



Lowassa asema Rais Magufuli anafanya vizuri ila yeye angefanya zaidi "Rais Magufuli anafanya vizuri ila ningekuwa mimi nisingefanya hivyo, ningefanya zaidi, kama nilivyosema kipaumbele ni ELIMU, ELIMU, ELIMU, nisingeanza na madawati, ningeanza na maslahi ya walimu. Serikali ishughulike na mambo makubwa, mambo ya madawati ni ya makatibu kata" alisema Lowassa.

Lowassa pia alisema hawezi kumuhukumu Kikwete anamwachia ajihukumu mwenyewe" Siwezi muhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu, na sijamuona hivi karibuni, ila sina tatizo naye" alisema Lowassa.

Lowassa alimalizia kwa kumshauri Rais Magufuli ashughulikie suala la Zanzibar
 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top