Hii ndiyo Kauli ya ACT WAZALENDO juu ya Operasheni UKUTA ya Chadema






Chama cha ACT Wazalendo kupitia akaunti yao ya twitter wameandika ujumbe ambao unaashiria
kuunga mkono oparesheni ya UKUTA.



Ikumbukwe juzi CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mbowe,walitangaza uzinduzi wa  operesheni UKUTA hiyo ifikapo mwezi wa tisa mwaka huu kwa madai ya kupinga kile wanachokiita udikteta.


ACT Wazalendo watoa ujumbe huu

Taifa Kwanza ✋ @ACTwazalendo
''Hii sio vita ya chama kimoja kimoja. Tunarudia kutaka wanasiasa wa upinzani, tunawasihi tupigane vita hii pamoja tuweke tofauti zetu pembeni''


'' Ujumbe wa ACT WAZALENDO BOFYA HAPA Kujua zaidi''







Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top