Video:SERENGETI BOYS YASHINDA 3-0 DHIDI YA SHELISHELI.

 

Baadhi ya wachezaji wa serengeti boys ambao leo wamechuana vikali dhidi ya shelisheli na kufanikiwa kufunga 3-0 . katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Bi. Beatrice Singano .Ikumbukwe kuwa zaidi ya nusu ya wachezaji wa serengeti boys wametokana na Airtel Rising Stars. Angalia video hii chini 


© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top