Mwanamuziki wa Marekani auawa

Christina Grimmie

Mwanamuziki wa Marekani Christina Grimmie ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Orlando jimbo la Florida.

Mwanamuziki huyo alikuwa mmojawapo wa wanaomenyana katika kipindi cha muziki maarufu cha The Voice.

Amepigwa risasi wakati akitangamana na mashabiki wake baada ya kuwatumbuiza.

Polisi wanasema aliyetekeleza mauaji hayo amejiua.
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top