Majaliwa ahudhuria sherehe za kumsimika askofu Geita

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo la Geita , Mhashamu Flavian Kassala katika Ibada ya kusimika Askofu huyo iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki la Geita Juni 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Maliwa akiwapungia waumini wa Kanisa katoliki jimbo la Geita baada ya kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu wa jimbo hilo, Flavian Kassala zilizofanyika mjini Geita Juni 12, 2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Geita na Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top