Lenovo yazindua simu aina ya smartphone

Lenovo
Lenevo imetangaza uzinduzi wa simu mbili zisizo za kawaida aina ya smartphones.

Miongoni mwa simu hizo kuna ile inayotumia kamera maalum kuangalia mazingira yake.

Kamera hiyo ina sensa inayoiwezesha kuona vitu vidogo.Nayo ile ya Moto Z inatumia smaku kuongezea uwezo wa kuskia katika kipaza sauti.

Wachangauzi wanasema kuwa ubunifu huo huenda ukawa vigumu kuuza.

Hatua hiyo itaathiri juhudu za Lenovo kuimarisha mauzo yake ya simu pamoja na zile za kitengo cha Motorola ilizonunua kutoka kwa Google kwa takriban dola biloni 2.8 mwaka 2014.
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top