Euro:Italia yailaza Ubelgiji mbili bila

 Graziano Pelle ambaye ni mchezaji wa Italia akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili
Italia sasa yaongoza kundi E baada ya usiku huu kufanikiwa kuilaza Ubelgiji maboa 2-0 katika Mashindono ya Euro 2016

Kiungo  wa timu ya Sunderland  Emanuele Giaccherini alifungua njia kwa timu yake baada ya kufanikiwa kufunga bao la kwanza mnamo dakika ya 32, akimalizia pasi ya Leonardo Bonucci

Antonio Conte akifanikiwa kuipeleka timu yake namba moja katika kundi E
Hii ndi kutokana na sare ya 1-1 baina ya timu ya Irend na Sweden

Pelle (r) akikabiliana na beki wa timu ya Ubelgiji  Thomas Vermaelen

Giaccherini (c) akimtoka mlinda lango wa Ubelgiji
Romelu Lukaku  akiachia shuti kali
Emanuele Giaccherini (r) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga bao


Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top