VIDEO& AUDIO: Mwembe Ambao usiku Hubadilika kuwa taswira ya Mwalimu Nyerere na Mama Nyerere Wavuta Mamia ya Watu Kuushuhudia Tanga

Mti wa ajabu aina ya Muembe umewavuta mamia ya wakazi wa Tengamano Jijini Tanga kuushuhudia ambapo inadaiwa kuwa mwembe huo ikifika majira ya jioni hubadilika na kuwa na taswira ya mwalimu Nyerere
kwa upande mmoja na Mama Nyerere kwa upande wa pili


Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016. "Ni kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza, hapa nilipo ndio naona hali halisi ya huu mwembe, ni kama mtu alijaribu kuuchonga"- Anasimulia shuhuda wa Tukio hilo Awadhi Ally
TAZAMA VIDEO

Sikia audio pia
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top