
Mfanya biashara katika Umoja wa Falme za Kiarabu, amelipa karibu dola milioni tano kununua nambari ya gari ya kipekee.
Bei aliyolipa ni karibu mara 20, kushinda ilivyo-tarajiwa mna-da uli-poanza.
Tajiri huyo ali-vi-ambia vyombo vya habari kwamba lengo lake siku zote, ni kuwa nambari ya kwanza.


Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)