Aliyekuwa mkufunzi wa Nigeria Shuaibu Amodu afariki

Shuaibu Amodu

Shirikisho la soka la Nigeria linasema kuwa mkurugenzi wa kiufundi ambaye pia alikuwa kocha wa zamani wa timu ya taifa Amodu Shuaibu, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 58.

Bwana Shuaibu, kocha mara nne wa timu ya Super Eagles alianza kuumwa na kifua jana usiku na baadaye akaaga duniani akiwa usingizini.Stephen Keshi

Nigeria ingali inaomboleza kifo cha mwanasoka maarufu, na aliyekuwa kocha, Stephen Keshi, aliyeaga dunia wiki hii.
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top