Algeria imefunga kwa muda mitandao ya kijamii kote nchini katika jitihada za kuzuia wizi wa mitihani ya shule za upili.
Karibu nusu ya wanafunzi walilazimishwa kurudia mtihani huo kuanzia leo Jumapili, baada ya mtihani wa kwanza kukumbwa na udanganyifu kwa njia ya mitandao.
Wanafunzi wengi walifanikiwa kupata maswali kwa njia ya mtandao wa Facebook na mitandao mingine kabla ya kufanyika kwa mtihani huo.
Hatua ya kufunga mitandao ya kijamii ililenga kuwalinda wanafunzi kutokana na kuchapisha maswali yasiyo sahihi kupitia kwa mitandao hiyo.
Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumapili June 19, 2016 bofya hapa
Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumapili June 19, 2016 bofya hapa
HABARI KUU LEO BOFYA HAPA