YANGA MABINGWA WAPYA KOMBE LA SHIRIKISHO 2016/17, YAILAZA AZAM FC BAO 3-1 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

 Rais wa Shirikisho la soka nchini, Jamal Malinzi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Shirikisho (ASFC), Nahodha wa Timu ya <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>Yanga, Nadir Haroub, mara baada ya kutwaa ubingwa huo kwa kuichapa Timu ya Azam FC, Bao 3-1, katika mchezo uliomalizika jioni hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es salaam. Picha na Othman Michuzi.
 Wachezaji wa Timu ya Yanga pamoja na viongozi wao wakishangilia baada ya kutwaa Kombe la Shirikisho, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Amis Tambwe akishangilia bao la kuongoza aliloipatia timu yake dhidi ya Azam FC , katika mchezo uliopigwa jioni hii, ikiwa ni mchezo wa Fainali ya Mashindano ya Kombe la Shirikisho (ASFA) ulichezwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar. Yanga wametwaa ubingwa huo kwa kuwafunga Azam FC baao 3-1. Picha na Othman Michuzi.

Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Azam FC, Ramadhan Singano "Messi" akiichambua ngome ya Timu ya Yanga, katika mchezo uliopigwa jioni hii, ikiwa ni mchezo wa Fainali ya Mashindano ya Kombe la Shirikisho (ASFA) ulichezwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar. Yanga wametwaa ubingwa huo kwa kuwafunga Azam FC baao 3-1.

 Mchezaji wa timu ya Yanga Oscar Joshua akimzuia mchezaji wa timu ya AzamFC Himid Mao kwenye mchezo wao wa Fainali ya Mashindano ya Kombe la Shirikisho (ASFA) ulichezwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar. Yanga wametwaa ubingwa huo kwa kuwafunga Azam FC baao 3-1.
Lango la Azam FC likiwa hatarini kuvunjwa.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top