Vita kati ya Huawei na Samsung mahakamani

Huawei
Kampuni ya teknolojia ya Huawei inaishtaki Samsung kuhusu madai kwamba haki zake zimekiukwa.
Kampuni hiyo ya<endelea bofya kichwa cha habari hii juu> China imesema kuwa inaishtaki Samsung kupitia mahakama mbili moja ikiwa California na nyengine ikiwa Shenzhen.

Kulingana na Huawei,simu zake kadhaa pamoja na programu zake ilizobuni zimetumiwa katika simu za Samsung bila ruhusa yake.Samsung
Samsung imeambia BBC itatetea maslahi ya bishara zake.

Hatahivyo programu zinazodaiwa kuibwa na Samsung hazijatangazwa.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top