

Katika mchezo huo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid walifanikiwa kutwaa Kombe lao 11, huku Atletico wakiambulia kushindwa kuweka rekodi ya kutwaa Kombe hilo kwa mara ya <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>kwanza katika historia ya klabu yao, Real Madrid walifanikiwa kuifunga Atletico kwa mikwaju ya penati 5-3, hiyo ni baada ya dakika 12o kumalizika kwa sare ya goli 1-1.

Baada ya Ubingwa Real Madrid waliwasili Hispania katika jiji la Madrid wakiwa na Kombe lao la 11 la UEFA.

















Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)