Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye anatuhumiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook imeendelea leo May 17 2016 kwenye Mahakama Kuu kanda ya <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>Arusha ambapo ushahidi umekamilika na kesi itaanza kusiklizwa mfululizo kuanzia June 7 mwaka huu.
Hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Augustino Rwezire anayesikiliza kesi hiyo amesema upande wa mashtaka umekamilisha ushahidi wake na mtuhumiwa ataendelea na dhamana hadi kesi hiyo itakapoanza kusikilizwa
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)