Ghasia zazidi mashariki mwa Ukrain

Wakuu wa jeshi wa Ukraine, wanasema kuwa ghasia zimezidi mashariki mwa nchi.

Wanasema kuwa wapiganaqji wanaopendelea Urusi, wamevunja makubaliano ya<endelea bofya kichwa cha habari hii juu> kusitisha mapigano, mara 30, katika saa 24 zilizopita, pamoja na matumizi ya mizinga ambayo imepigwa marufuku katika mkataba wa Minsk.Wafungwa wa vita nchini Ukrain

Inaarifiwa kuwa mabomba ya maji yaliyoharibika, yamekata huduma kwa miji kama Luhansk, na wapiganaji wamekataa mabomba hayo kutengenezwa.

Waziri wa Ulinzi wa Ukraine, Stepan Poltorak anasema Urusi inazidisha wanajeshi wake mpakani.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top