Breaking News:Wabunge bila kujali itikadi zao za kivyama wametoka nje ya kikao cha bunge muda huu May 30, 2016

Habari zilizotufika punde zinasema,Wabunge bila kujali itikadi zao za kivyama wametoka nje ya kikao cha bunge baada ya Naibu Spika kukataa kauli ya serikali kuhusu wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma waliosimamishwa kujadiliwa,
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari aliomba mwongozo na kutaka sakata la wanafunzi hao lijadiliwe lakini Naibu Spika, Tulia Ackson alisema jambo hilo haliwezi kusitisha shughuli za Bunge hivyo haliwezi kujadiliwa kwa wakati huo.

Kauli hiyo iliwanyanyua wabunge wa upinzani na baadhi ya wa CCM wakipinga kauli hiyo huku wakiwa wamesimama jambo ambalo lilisababisha kuaihirishwa kwa Bunge hadi saa 10:00 jioni huku akiagiza kukutana kwa kamati ya uongozi ya Bunge

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top