BAADA YA ZIZOU KUCHUKUA UEFA, INSTAGRAM YA BECKHAM ILISOMEKA HIVI…

Zinedine Zidane imemchukua takriban miezi mitano kushinda taji la vilabu bingwa Ulaya akiwa kama kocha wa Real Madrid.

Ushindi huo umekuja baada ya<endelea bofya kichwa cha habari hii juu> kushuhudia mchuano mkali wa matuta kwenye usiku wa Milan dhidi ya mahasimu wake wa jiji moja Atletico Madrid.

Mkongwe wa Manchester United na Real Madrid David Beckham hakuwa nyuma kumpongeza mchezaji mwenzake wa zamani kwa kufikia mafanikio ya kubeba ndoo ya Champions League akiwa kama kocha.

Akitumia picha ya zamani kabla ya wawili hao hawajastaafu soka, David Beckham amempongeza Zizou kwa kuandika ujumbe kwenye account yake ya Instagram unaosomeka hivi: “it couldn’t of happened to a nicer and more passionate person”.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top