9 kwenye kapu lao.
Marcus Rashford alikuwa shujaa wa mechi hiyo ya mwisho kati ya mechi nane zilizopigwa Agosti 27, Manchester ilikuwa ugenini kwenye uwanja wa Kingston Communications ikipambana na Hull City.
United inaendelea kukimbizana na Chelsea kileleni mwa ligi baada ya timu hizo kucheza mechi tatu na kushinda zote huku zikisubiri matokeo ya Manchester City yenye pointi 6 lakini ikiwa na mchezo mkononi.
Taarifa kutoka ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu operesheni UKUTA bofyA HAPA
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)