Benki tano zafutiwa leseni kuanzia leo Alhamisi

Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imezifutia leseni ya kufanya biashara benki tano na kuziweka chini ya ufilisi. Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi na BoT imezitaja benki hizo kuwa ni Covenant Bank For Women (Tanzania) Limited, Efatha Bank Limited, Njombe...

Hatua Iliyofikiwa Na Serikali Katika Ununuzi Wa Treni Mpya Za Kisasa

Serikali kupitia Kampuni Hodhi ya Reli (RAHCO) imetangaza mchakato wa awali wa zabuni ya ununuzi wa vichwa na mabehewa kwa ajili ya treni ya umeme itakayotumika katika reli ya kisasa (Standard Gauge) ambayo ujenzi wake unaendelea. Kaimu Mkurugenzi...

Taarifa Kwa Umma Kutoka Mamlaka Ya Mapato TRA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanya mabadiliko ya ulipaji kodi kwa wafanyabiashara wadogo ambao watalipa robo ya kwanza ya malipo ndani ya siku 90 badala ya njia ya awali ya kufanyiwa makadirio. Mabadiliko hayo yatawasaidia wafanyabiashara...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya January 3

...

Adam Kimbisa Abwagwa Uspika Bunge la Afrika Mashariki

Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limemchagua Spika kutoka Rwanda, Dk Martin Ngoga katika uchaguzi ulioibua mabishano ya kisheria juu ya uhalali wa kufanyika kwake. Baada ya dua ya kuliombea Bunge, mbunge Dk Ngwaru Maghembe kutoka Tanzania aliomba...

Mkurugenzi wa fedha NHC amrithi Mchechu Aliyetumbuliwa na Waziri Lukuvi

Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi ameteuliwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Nehemia Mchechu aliyesimamishwa kupisha uchunguzi. Mchechu alisimamishwa kazi Desemba 16,2017 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...

Wananchi Wampa Makavu Maulid Mtulia Baada ya Kutangaza Kugombea Ubunge Kupitia CCM Baada ya Kuikimbia CUF

Aliyekuwa Mbunge Kinondoni (CUF), Maulid Mtulia ambaye amehamia CCM ametangaza nia ya kugombea tena ubunge katika jimbo hilo kwa tiketi ya chama hicho tawala. Desemba 2 Mtulia alijiuzulu nafasi ya ubunge, huku akisema amefikia uamuzi huo bila...

Rais Magufuli amwaga mabilioni Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kupitia wizara ya Nishati, ametoa kiasi cha shilingi bilioni 210 kwaajili ya ujenzi wa mradi mkubwa wa Umeme unaojengwa mkoani Ruvuma. Akiongea katika ziara yake ya siku tatu mkoani...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya December 2017

...
Older Posts
© Copyright 2025 UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top